Rasimu ya Mwongozo Jumuishi wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini wajadiliwa

DODOMA-Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kupitia Rasimu ya Mwongozo Jumuishi wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini Kilichofanyika tarehe 28 Februari, 2024 kwenye ukumbi wa mikutano Ngome jiini Dodoma.
Kikao hicho kilihudhuriwa na Makatibu Wakuu, Wakurugenzi wa Vitengo vya Ufuatili na Tathmin pamoja na Wataalam wa Ufuatiliaji na Tathmini wa Ofisi ya Waziri Mkuu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news