"Kikao kimeenda vizuri na tunategemea mafanikio makubwa katika kuiwezesha REA kutimiza azma yake ya kuwafikishia nishati safi ya umeme, mafuta na gesi wananchi walioko vijijini," Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu,Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini - Feb. 2024.