ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi tarehe 24 Februari,2024 amekutana na maafisa watendaji wakuu wa taasisi za fedha nchini Ikulu jijini Zanzibar.
Lengo la kikao hicho ni ushirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Taasisi za fedha kwa maendeleo.