BoT:Taarifa za kuwepo kwa sarafu ya Afrika Mashariki hazina ukweli wowote,zipuuze
"Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inapenda kuutarifu umma kwamba taarifa inayosambaa kuhusu kuanzishwa kwa sarafu ya Afrika Mashariki hazina ukweli wowote na zinapaswa kupuuzwa;