LUSAKA-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Philip Isdor Mpango anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi Mbili za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika Machi 23, 2024 jijini Lusaka, Zambia.
Makamu wa Rais, Dkt.Mpango anatarajiwa kuondoka nchini Machi 22, 2024 kushiriki mkutano huo;