Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 1,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3202.06 na kuuzwa kwa shilingi 3235.87 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 1, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1866.46 na kuuzwa kwa shilingi 1884.56 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2880.28 na kuuzwa kwa shilingi 2807.76.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1648.24 na kuuzwa kwa shilingi 1674.98 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3359.69 na kuuzwa kwa shilingi 3393.29.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 245.14 na kuuzwa kwa shilingi 247.55 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.61 na kuuzwa kwa shilingi 132.98.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 687.27 na kuuzwa kwa shilingi 694.10 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 162.44 na kuuzwa kwa shilingi 163.88.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2743.11 na kuuzwa kwa shilingi 2771.56.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.28 na kuuzwa kwa shilingi 17.33 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.39 na kuuzwa kwa shilingi 1.50.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.88 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2531.57 na kuuzwa kwa shilingi 2556.79 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8229.49 na kuuzwa kwa shilingi 8209.09.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today March 1st, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED689.2682696.104692.686101-Mar-24
2ATS162.4448163.8842163.164501-Mar-24
3AUD1648.24351664.98161656.612601-Mar-24
4BEF55.411555.90255.656801-Mar-24
5BIF0.88180.88990.885801-Mar-24
6BWP183.2788185.623184.450901-Mar-24
7CAD1866.45671884.56551875.511101-Mar-24
8CHF2880.27682907.75622894.016501-Mar-24
9CNY352.0583355.5047353.781501-Mar-24
10CUC105.4781106.5329106.005501-Mar-24
11DEM1014.33481153.00561083.670201-Mar-24
12DKK368.0861371.7129369.899501-Mar-24
13DZD18.874319.003818.939101-Mar-24
14ESP13.434613.553113.493801-Mar-24
15EUR2743.10662771.56042757.333501-Mar-24
16FIM375.9468379.2782377.612501-Mar-24
17FRF340.7696343.784342.276801-Mar-24
18GBP3202.0633235.87343218.968201-Mar-24
19HKD323.4162326.6461325.031101-Mar-24
20INR30.544430.843530.69401-Mar-24
21IQD1.93391.95031.942101-Mar-24
22IRR0.06030.06090.060601-Mar-24
23ITL1.15441.16471.159501-Mar-24
24JPY16.904717.070316.987501-Mar-24
25KES17.279717.334217.306901-Mar-24
26KRW1.89831.91641.907401-Mar-24
27KWD8229.49598309.08978269.292801-Mar-24
28MWK1.39731.5041.450601-Mar-24
29MYR533.8413538.3849536.113101-Mar-24
30MZM39.345339.677139.511201-Mar-24
31NAD131.731132.9446132.337801-Mar-24
32NGN1.55341.5671.560201-Mar-24
33NLG1014.33481023.331018.832401-Mar-24
34NOK239.1004241.423240.261701-Mar-24
35NZD1542.42791558.87491550.651401-Mar-24
36PKR8.75699.17638.966601-Mar-24
37QAR694.411700.9705697.690801-Mar-24
38RWF1.97022.01661.993401-Mar-24
39SAR675.0241681.7379678.38101-Mar-24
40SDR3359.69793393.29493376.496401-Mar-24
41SEK245.1436247.5495246.346501-Mar-24
42SGD1883.53811901.24181892.3901-Mar-24
43TRY81.087181.871881.479501-Mar-24
44UGX0.61920.64980.634501-Mar-24
45USD2531.47522556.792544.132601-Mar-24
46GOLD5183929.69715236817.2785210373.487601-Mar-24
47ZAR131.6858132.9791132.332501-Mar-24
48ZMK104.7349108.8232106.779101-Mar-24
49ZWD0.47370.48330.478501-Mar-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news