Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 14,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 247.46 na kuuzwa kwa shilingi 249.89 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 136.09 na kuuzwa kwa shilingi 137.42.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 14, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 688.73 na kuuzwa kwa shilingi 695.42 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 162.30 na kuuzwa kwa shilingi 163.74.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2767.53 na kuuzwa kwa shilingi 2795.47.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1674.89 na kuuzwa kwa shilingi 1692.15 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3374.94 na kuuzwa kwa shilingi 3408.69.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.46 na kuuzwa kwa shilingi 18.51 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.39 na kuuzwa kwa shilingi 1.50.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.88 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2529.28 na kuuzwa kwa shilingi 2554.57 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8235.74 na kuuzwa kwa shilingi 8315.39.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3237.98 na kuuzwa kwa shilingi 3270.62 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.00.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1879.25 na kuuzwa kwa shilingi 1897.47 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2884.67 na kuuzwa kwa shilingi 2912.19.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today March 14th, 2024 according to Bank of Tanzania (BoT);
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED688.726695.4239692.074914-Mar-24
2ATS162.3038163.7419163.022814-Mar-24
3AUD1674.88741692.14721683.517314-Mar-24
4BEF55.363455.853555.608414-Mar-24
5BIF0.88170.88390.882814-Mar-24
6BWP186.4077188.7827187.595214-Mar-24
7CAD1879.2461897.47461888.360314-Mar-24
8CHF2884.66842912.18652898.427414-Mar-24
9CNY351.7918355.2454353.518614-Mar-24
10CUC105.3866106.4404105.913514-Mar-24
11DEM1013.4541152.00451082.729314-Mar-24
12DKK371.1665374.8562373.011414-Mar-24
13DZD18.873218.986918.9314-Mar-24
14ESP13.422913.541313.482114-Mar-24
15EUR2767.53512795.4662781.500514-Mar-24
16FIM375.6204378.9489377.284614-Mar-24
17FRF340.4737343.4855341.979614-Mar-24
18GBP3237.98073270.6163254.298314-Mar-24
19HKD323.3254326.5461324.935714-Mar-24
20INR30.549730.850430.700114-Mar-24
21IQD1.93221.94861.940414-Mar-24
22IRR0.06020.06080.060514-Mar-24
23ITL1.15341.16361.158514-Mar-24
24JPY17.111717.279317.195514-Mar-24
25KES18.461918.511418.486614-Mar-24
26KRW1.92291.94171.932314-Mar-24
27KWD8235.73718315.38698275.56214-Mar-24
28MWK1.39611.50271.449414-Mar-24
29MYR539.7519544.6844542.218114-Mar-24
30MZM39.262339.593539.427914-Mar-24
31NAD136.0704137.409136.739714-Mar-24
32NGN1.58781.60171.594814-Mar-24
33NLG1013.4541022.44151017.947714-Mar-24
34NOK241.6176243.9569242.787214-Mar-24
35NZD1558.03481574.63691566.335914-Mar-24
36PKR8.76789.18748.977614-Mar-24
37QAR693.808700.3619697.08514-Mar-24
38RWF1.962.0061.98314-Mar-24
39SAR674.42681.1278677.773914-Mar-24
40SDR3374.93913408.68853391.813814-Mar-24
41SEK247.4637249.8968248.680314-Mar-24
42SGD1898.99931916.8381907.918714-Mar-24
43TRY78.813379.576779.19514-Mar-24
44UGX0.6250.65590.640414-Mar-24
45USD2529.27722554.572541.923614-Mar-24
46GOLD5483953.59245539585.0455511769.318714-Mar-24
47ZAR136.0887137.423136.755914-Mar-24
48ZMK99.3279103.2149101.271414-Mar-24
49ZWD0.47330.48290.478114-Mar-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news