Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 7,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2750.57 na kuuzwa kwa shilingi 2778.84.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 7, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.73 na kuuzwa kwa shilingi 17.78 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.39 na kuuzwa kwa shilingi 1.50.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.88 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2526.70 na kuuzwa kwa shilingi 2551.97 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8224.14 na kuuzwa kwa shilingi 8290.19.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3215.23 na kuuzwa kwa shilingi 3248.40 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.01.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1863.07 na kuuzwa kwa shilingi 1881.57 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2861.82 na kuuzwa kwa shilingi 2889.13.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1653.22 na kuuzwa kwa shilingi 1670.26 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3355.56 na kuuzwa kwa shilingi 3389.12.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 244.76 na kuuzwa kwa shilingi 247.16 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.08 na kuuzwa kwa shilingi 135.39.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 687.95 na kuuzwa kwa shilingi 694.79 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 162.14 na kuuzwa kwa shilingi 163.57.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today March 7th, 2024 according to Bank of Tanzania (BoT);
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED687.9501694.7917691.370907-Mar-24
2ATS162.1386163.5752162.856907-Mar-24
3AUD1653.22181670.26441661.743107-Mar-24
4BEF55.30755.796655.551807-Mar-24
5BIF0.880.88780.883907-Mar-24
6CAD1863.07551881.56751872.321507-Mar-24
7CHF2861.82242889.13162875.47707-Mar-24
8CNY351.0041354.4747352.739407-Mar-24
9DEM1012.42261150.8321081.627307-Mar-24
10DKK369.0503372.6863370.868307-Mar-24
11ESP13.409213.527513.468407-Mar-24
12EUR2750.56892778.84012764.704507-Mar-24
13FIM375.238378.5632376.900607-Mar-24
14FRF340.1272343.1358341.631507-Mar-24
15GBP3215.22963248.40263231.816107-Mar-24
16HKD322.9343326.1429324.538607-Mar-24
17INR30.523130.807930.665507-Mar-24
18ITL1.15231.16251.157407-Mar-24
19JPY16.922517.088317.005407-Mar-24
20KES17.731317.783817.757507-Mar-24
21KRW1.89611.91451.905307-Mar-24
22KWD8224.14148290.19268257.16707-Mar-24
23MWK1.39471.50111.447907-Mar-24
24MYR534.1867539.0727536.629707-Mar-24
25MZM39.222339.553139.387707-Mar-24
26NLG1012.42261021.40081016.911707-Mar-24
27NOK240.1353242.4721241.303707-Mar-24
28NZD1545.33151561.04011553.185807-Mar-24
29PKR8.60359.13058.86707-Mar-24
30RWF1.95012.00891.979507-Mar-24
31SAR673.7156680.4164677.06607-Mar-24
32SDR3355.56433389.11993372.342107-Mar-24
33SEK244.7644247.1642245.964307-Mar-24
34SGD1886.58481904.45521895.5207-Mar-24
35UGX0.61960.65020.634907-Mar-24
36USD2526.7032551.972539.336507-Mar-24
37GOLD5399741.11685455805.62365427773.370207-Mar-24
38ZAR134.081135.3916134.736307-Mar-24
39ZMW102.3627106.3711104.366907-Mar-24
40ZWD0.47280.48240.477607-Mar-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news