MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetupilia mbali maombi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, kwamba waandishi wa habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake.
Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa Machi 13,2024 mkoani Dar es Salaam, mbele ya Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Mary Mrio.