DAR ES SALAAM-Uongozi wa Azam FC tarehe 15,2024 umekutana na wachezaji kujadiliana mambo mbalimbali kuelekea mechi zao zijazo kuanzia wa Jumapili wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga Uwanja wa Benjamín Mkapa jijini Dar es Salaam.