"Kwa ndugu zangu, watoto wa Mzee Mwinyi, mbuyu umeng'oka.Ninawasihi kuimarisha umoja na heshima ya familia.Hatutafurahi kusikia familia ina mzozo. Ndugu yangu Hussein (Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi) simamia hili. Hakikisha familia inasimama,"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan tarehe 2 Machi,2024