Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 17,2024
KILIMANJARO-Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limekabidhi kwa familia mwili wa Jonathan Makanyaga (6),mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Mrupanga anayedaiwa kufa kutokana na kipigo;