DAR ES SALAAM-Machi 3,2024 kupitia mitandao ya kijamii na makundi sogosi zilisambaa taarifa za kudorora kwa utendaji kazi ya kuhudumia meli na shehena katika Bandari ya Dar es Salaam kunakohusishwa na mgomo wa wafanyakazi wenye madai mbalimbali ikiwemo kufutiwa mikataba yao ya kazi;