DODOMA-Mkurugenzi Mstaafu wa TARI Dkt. Geoffrey S. Mkamilo amefariki dunia Machi 2, 2024 katika hospitali ya Benjamin Mkapa alikokuwa akipatiwa matibabu.
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake Mahala pema. Amen
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbFARRqcMWpiWougnNZgjLElLOTeOQiNmHodTO3x3rtoZL27uqDD-fe8fSHeBCUq2NRXffR-Jv9xruZAhBvXKEod9jVtwX0dYTzJlrYTAZU6MnpPOdY7uuGKMSm39XVXtqaKv8i2Khy8PuXtp4014GxDfmR5fxqgrYETu2clN8-wRI_on2t2wpWdQx8Gs/s16000/FB_IMG_1709539461222.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa TARI, Dkt. Thomas Bwana akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa hayati Mkamilo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbX0pSfRFIYKZVv3M8REaInNdR-ZqafsY2UVsYOXE95ii_C3CESuKzMtDUTsUxt07gp04d0PFL7qdr3WFg1giKYnJeHnqnQ82dMW7q3SiBNH2QDFe4swmEz7G0PGQM4YuIuJElO3puEF_Ke6HaCacHHgo9a2Dr5Y2rtmgyECuWEMdfKeep2JTIR59wQ3k/s16000/FB_IMG_1709539455649.jpg)
Mkurugenzi wa Uhaulishaji Teknolojia na Mahusiano Dkt. Geradina Mzena akishiriki kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia msiba wa Mkurugenzi Mstaafu wa TARI hayati Dkt. Mkamilo.