Muonekano wa kuvutia wa moja wapo ya kipande cha Barabara Kuu ya kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa ya Kaskazini ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na nchi jirani ya Kenya kama picha ilivyopigwa leo Machi 9,2024. Serikali zilizopita pamoja na Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan imeweka mkazo mkubwa katika maboresho na ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, madaraja na mengineyo ili kuraharakisha maendeleo kupitia usafirishaji.(Picha na DIRAMAKINI).