MARA-Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara, Mheshimiwa Prof. Sospeter Muhongo amewatakia wananchi wa jimbo hilo na Watanzania wote Sikukuu njema ya Pasaka.
Ameyasema hayo kupitia taarifa iliyotolewa na ofisi ya jimbo hilo leo Machi 31, 2024.