Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( SMZ), Mhe. Riziki Pembe Juma ( kati), Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ( SMT),Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ( kushoto) na Dr Ellen Otaru Okoedion, Mwenyekiti wa Journalists Association of Tanzania (JET) wakiwa katika kikao baina ya Shirika la Kimataifa linaloshughulikia masuala ya wanawake Duniani (UN Women) na Mawaziri wa Africa wanaoshughulikia masuala ya wanawake kuhusu usawa wa jinsia katika Ukumbi wa European Unions jijini New York,Marekani, kikao hicho kimefanyika Machi 20,2024