Usiku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan aliongoza Viongozi na Wananchi wa Zanzibar kupokea Mwili wa Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume jijini Zanzibar, tazama video hapa chini.
Matukio mbalimbali katika picha kutoka Uwanja wa Amani Zanzibar ambapo viongozi mbalimbali wamewasili kwa ajili ya maziko ya Kitaifa ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili hayati Ali Hassan Mwinyi leo Machi 2, 2024.