Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 22,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3193.88 na kuuzwa kwa shilingi 3226.86 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 22, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1864.36 na kuuzwa kwa shilingi 1882.86 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2824.36 na kuuzwa kwa shilingi 2852.29.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 234.80 na kuuzwa kwa shilingi 237.11 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.92 na kuuzwa kwa shilingi 135.22.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 698.59 na kuuzwa kwa shilingi 705.38 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 164.62 na kuuzwa kwa shilingi 166.08.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2735.45 na kuuzwa kwa shilingi 2763.32.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1646.19 na kuuzwa kwa shilingi 1663.17 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3373.71 na kuuzwa kwa shilingi 3407.45.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.29 na kuuzwa kwa shilingi 19.34 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.65 na kuuzwa kwa shilingi 0.68 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2565.37 na kuuzwa kwa shilingi 2591.02 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8224.52 na kuuzwa kwa shilingi 8302.31.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 22nd, 2024 according to Bank of Tanzania (BoT);
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED698.5911705.3849701.98822-Apr-24
2ATS164.6196166.0782165.348922-Apr-24
3AUD1646.19561663.17571654.685722-Apr-24
4BEF56.153456.650456.401922-Apr-24
5BIF0.89110.89930.895222-Apr-24
6CAD1864.36511882.87191873.618522-Apr-24
7CHF2824.36022852.28982838.32522-Apr-24
8CNY354.3177357.8411356.079422-Apr-24
9DEM1027.91451168.44191098.178222-Apr-24
10DKK366.6748370.315368.494922-Apr-24
11ESP13.614413.734513.674522-Apr-24
12EUR2735.45012763.32292749.386522-Apr-24
13FIM380.9799384.3559382.667922-Apr-24
14FRF345.3318348.3864346.859122-Apr-24
15GBP3193.88113226.85633210.368722-Apr-24
16HKD327.4908330.7572329.12422-Apr-24
17INR30.753131.052730.902922-Apr-24
18ITL1.16991.18021.175122-Apr-24
19JPY16.593616.758416.67622-Apr-24
20KES19.288519.33619.312222-Apr-24
21KRW1.8631.8811.87222-Apr-24
22KWD8324.51678402.30898363.412822-Apr-24
23MWK1.37481.48061.427722-Apr-24
24MYR536.5753541.3749538.975122-Apr-24
25MZM39.95940.295840.127422-Apr-24
26NLG1027.91451037.03021032.472422-Apr-24
27NOK232.6779234.9407233.809322-Apr-24
28NZD1511.77031527.40631519.588322-Apr-24
29PKR8.76029.30689.033522-Apr-24
30RWF1.97652.02271.999622-Apr-24
31SAR683.8788690.6808687.279822-Apr-24
32SDR3373.71523407.45243390.583822-Apr-24
33SEK234.8032237.1144235.958822-Apr-24
34SGD1884.77441903.48221894.128322-Apr-24
35UGX0.64720.67920.663222-Apr-24
36USD2565.36642591.022578.193222-Apr-24
37GOLD6100851.60726163440.64546132146.126322-Apr-24
38ZAR133.9204135.2222134.571322-Apr-24
39ZMW97.2033101.014499.108922-Apr-24
40ZWD0.48010.48970.484922-Apr-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news