Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 30,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2744.43 na kuuzwa kwa shilingi 2772.90.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 30, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1681.06 na kuuzwa kwa shilingi 1698.39 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3372.67 na kuuzwa kwa shilingi 3406.42.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.03 na kuuzwa kwa shilingi 19.08 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.64 na kuuzwa kwa shilingi 0.68 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.88 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2559.86 na kuuzwa kwa shilingi 2585.46 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8316.09 na kuuzwa kwa shilingi 8396.43.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3109.55 na kuuzwa kwa shilingi 3242.68 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.01.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1874.81 na kuuzwa kwa shilingi 1893.28 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2809.64 na kuuzwa kwa shilingi 2835.87.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 234.96 na kuuzwa kwa shilingi 237.28 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 137.01 na kuuzwa kwa shilingi 138.33.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 697.07 na kuuzwa kwa shilingi 703.85 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 164.27 na kuuzwa kwa shilingi 165.72.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 30th, 2024 according to Bank of Tanzania (BoT);
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED697.0731703.8521700.462630-Apr-24
2ATS164.2664165.7219164.994130-Apr-24
3AUD1681.0611698.38871689.724830-Apr-24
4BEF56.032956.528856.280930-Apr-24
5BIF0.88870.89690.892830-Apr-24
6BWP186.3579189.5142187.936130-Apr-24
7CAD1874.80691893.27771884.042330-Apr-24
8CHF2809.63822835.86712822.752630-Apr-24
9CNY353.533357.019355.27630-Apr-24
10CUC106.6609107.7275107.194230-Apr-24
11DEM1025.70881165.93461095.821730-Apr-24
12DKK368.05371.6771369.863530-Apr-24
13DZD19.108319.174519.141430-Apr-24
14ESP13.585213.705113.645130-Apr-24
15EUR2744.42742772.90592758.666630-Apr-24
16FIM380.1624383.5311381.846730-Apr-24
17FRF344.5908347.6389346.114830-Apr-24
18GBP3209.55423242.68393226.119130-Apr-24
19HKD327.0594330.3216328.690530-Apr-24
20INR30.683130.969530.826330-Apr-24
21IQD1.95561.97211.963930-Apr-24
22IRR0.06090.06160.061330-Apr-24
23ITL1.16741.17771.172530-Apr-24
24JPY16.371616.532116.451930-Apr-24
25KES19.032419.080919.056730-Apr-24
26KRW1.85891.87691.867930-Apr-24
27KWD8316.09838396.53168356.314930-Apr-24
28MWK1.37181.47741.424630-Apr-24
29MYR537.2217542.0252539.623430-Apr-24
30MZM39.966640.303440.13530-Apr-24
31NAD137.0522138.2821137.667130-Apr-24
32NGN1.88921.90531.897230-Apr-24
33NLG1025.70881034.80491030.256830-Apr-24
34NOK232.8671235.1316233.999330-Apr-24
35NZD1529.51721545.84651537.681930-Apr-24
36PKR8.73839.28359.010930-Apr-24
37QAR702.1013708.7336705.417430-Apr-24
38RWF1.96952.01551.992530-Apr-24
39SAR682.5387689.3273685.93330-Apr-24
40SDR3372.69423406.42113389.557630-Apr-24
41SEK234.9574237.2852236.121330-Apr-24
42SGD1882.66631900.37491891.520630-Apr-24
43TRY79.07479.837679.455830-Apr-24
44UGX0.6450.67680.660930-Apr-24
45USD2559.86142585.462572.660730-Apr-24
46GOLD5976994.75196037824.7386007409.744930-Apr-24
47ZAR137.0148138.3353137.675130-Apr-24
48ZMK93.771496.400495.085930-Apr-24
49ZWD0.4790.48870.483930-Apr-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news