Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 5,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2552.37 na kuuzwa kwa shilingi 2577.89 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8303.08 na kuuzwa kwa shilingi 8380.66.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 5, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3232.57 na kuuzwa kwa shilingi 3266.70 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.94 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1892.60 na kuuzwa kwa shilingi 1910.96 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2820.92 na kuuzwa kwa shilingi 2847.55.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 241.22 na kuuzwa kwa shilingi 243.56 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 136.68 na kuuzwa kwa shilingi 138.01.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 695.13 na kuuzwa kwa shilingi 701.89 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 163.78 na kuuzwa kwa shilingi 165.24.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2774.17 na kuuzwa kwa shilingi 2802.17.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1688.13 na kuuzwa kwa shilingi 1706.05 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3381.96 na kuuzwa kwa shilingi 3415.78.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.71 na kuuzwa kwa shilingi 19.75 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.47.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.64 na kuuzwa kwa shilingi 0.67 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.88 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 5th, 2024 according to Bank of Tanzania (BoT);
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED695.1267701.8868698.506805-Apr-24
2ATS163.7854165.2366164.51105-Apr-24
3AUD1688.13511706.04761697.091305-Apr-24
4BEF55.868856.363356.116105-Apr-24
5BIF0.88730.89550.891405-Apr-24
6BWP187.0885189.4749188.281705-Apr-24
7CAD1892.60441910.96371901.784105-Apr-24
8CHF2820.91772847.55332834.235505-Apr-24
9CNY352.878356.3328354.605405-Apr-24
10CUC106.3486107.4121106.880305-Apr-24
11DEM1022.70561162.52091092.613205-Apr-24
12DKK371.9241375.6214373.772805-Apr-24
13DZD19.004519.110619.057505-Apr-24
14ESP13.545413.664913.605205-Apr-24
15EUR2774.1672802.16642788.166705-Apr-24
16FIM379.0493382.4082380.728705-Apr-24
17FRF343.5818346.621345.101405-Apr-24
18GBP3232.5723266.70223249.637105-Apr-24
19HKD326.0643329.2955327.679905-Apr-24
20INR30.606530.907430.75705-Apr-24
21IQD1.94991.96641.958105-Apr-24
22IRR0.06080.06140.061105-Apr-24
23ITL1.1641.17431.169105-Apr-24
24JPY16.832916.997816.915305-Apr-24
25KES19.709419.753919.731705-Apr-24
26KRW1.89681.91521.90605-Apr-24
27KWD8303.07858380.65678341.867605-Apr-24
28MWK1.36781.47311.420405-Apr-24
29MYR538.8149543.6293541.222105-Apr-24
30MZM39.768940.104139.936505-Apr-24
31NAD136.7974138.0692137.433305-Apr-24
32NGN2.04191.77791.909905-Apr-24
33NLG1022.70561031.77511027.240305-Apr-24
34NOK238.8268241.161239.993905-Apr-24
35NZD1541.88451557.56111549.722805-Apr-24
36PKR8.72689.2738.999905-Apr-24
37QAR699.9496706.5616703.255605-Apr-24
38RWF1.9412.01711.97905-Apr-24
39SAR680.4859687.2541683.8705-Apr-24
40SDR3381.96153415.78113398.871305-Apr-24
41SEK241.2171243.5602242.388705-Apr-24
42SGD1895.83771913.6591904.748405-Apr-24
43TRY80.056780.816780.436705-Apr-24
44UGX0.63680.66910.652905-Apr-24
45USD2552.36632577.892565.128205-Apr-24
46GOLD5839278.18135898727.8985869003.039605-Apr-24
47ZAR136.6846138.0101137.347305-Apr-24
48ZMK101.0529105.0057103.029305-Apr-24
49ZWD0.47760.48730.482505-Apr-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news