MOROGORO-Watoto wawili wa familia moja wanaoishi Mtaa Mkwajuni, Manispaa ya Morogoro wamefariki dunia baada ya kutumbukia na kuzama kwenye shimo llinalodhaniwa la choo lilolojaa maji.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mkwajuni, Juma Bilali amesema tukio hilo lilitokea saa 12 jioni Aprili 23, 2024 na kuwataja watoto hao kuwa ni Neema Emmanuel (11), mwanafunzi wa darasa la nne na Glory Geitan (12), mwanafunzi wa darasa la tano wote walikuwa wakisoma Shule ya Msingi Mindu.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo