DODOMA-Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amesema ofisi yake imejipanga vyema Kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, kwa kushirikiana na Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Mhe. Mchengerwa ameyasema hayo tarehe 16 Aprili, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha makadilio ya Bajeti na mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024/25.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo