MOROGORO-Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewatia mbaroni watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya Hajirath Shaaban Mshamo (22), mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo cha Mtakatifu Joseph kilichopo Kata ya Mkundi, Morogoro.
Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Alex Mkama amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Tyson Eliakim (20, Elias Lenjement (29) na Fredrick Nongwa (21) wote madereva wa bodaboda wakazi wa Kihonda, Dar es Salaam.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo