DAR ES SALAAM-Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza kutoa huduma mpya ya kufuatilia mgonjwa akiwa nyumbani kupitia shuka yenye kifaa maalum itakayoonesha mapigo ya moyo na kiwango cha presha cha mgonjwa kwa wataalamu wa afya wa JKCI.
Hayo yamesemwa Aprili 23,2024 mbele ya Wanahabari na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dkt.Richard Kisenge ambapo amesema kupitia huduma mpya inayoitwa Home Base Care wahudumu wa JKCI watakuwa wanahudumia wagonjwa wakiwa nyumbani.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo