DODOMA-Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Pindi Chana ameliomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 shilingi 441,260,152,000 kwa ajili ya wizara na taasisi zake.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo