PWANI-Kampuni ya Asas kwa kushirikiana na Kampuni ya Oryx zimekabidhi msaada wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 70 kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rai Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) na Mbunge wa Jimbo la Rufiji, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yanayoendelea huko Rufiji mkoani Pwani.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo