Kwa miaka mingi mshairi wa kisasa Lwaga Mwambande (KiMPAP) ametunga mashairi kwa ajili ya siku zetu za kuzaliwa, amekuwa baraka kwetu sote.
Aidha, Jumapili hii usiku tutakuwa na sadaka maalumu kwa ajili ya kipindi cha mashairi.
Na kila atakayetoa sadaka yoyote atajipatia nakala laini mbili za vitabu vya mashairi vya Lwaga Mwambande. Usikose maarifa
Lwaga Mwambande (KiMPAB)
lwagha@gmailcom 0767223602