Naibu Waziri Mkuu atembelea banda la PSSSF katika Maonesho ya OSHA jijini Arusha


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dotto Biteko (kulia), akizungumza wakati alipotembelea banda la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), kwenye Maonesho ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi (OSHA), katika uwanja wa General Tyre, Njiro jijini Arusha, Aprili 28, 2024. Kushoto ni Mneja wa PSSSF, Kanda ya Kaskazini, Vonness Koka na watumishi wengine wa Mfuko huo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news