Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiwaongoza Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuimba wimbo wa Mshikamano Daima muda mfupi kabla ya kufungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo uliofanyika mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo uliofanyika mkoani Morogoro.








Tags
Habari
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Watumishi Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali