Aprili 28, 2024, Watumishi wa VETA Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kanda hiyo Bi. Monica Mbelle wameshiriki mbio zilizoandaliwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na kupewa jina la TUCTA Mei Mosi Marathon zilizofanyika jijini Arusha kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 1 Mei,2024