Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Aprili 05, 2024 amefuturisha wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma. Iftar hiyo pia ilihudhuriwa na Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabaraza ya Kitaifa Duniani (IPU) na Baraza la Uongozi la IPU, Dkt. Tulia Ackson.