PWANI-Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani, Mheshimiwa Dkt.Shukuru Kawambwa amejumuishwa kwenye kashfa inayohusiana na mambo ya ardhi huko Bagamoyo mkoani Pwani.Tazama video hapa chini;