PWANI-Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa amesema, amesikitishwa kuona baadhi ya watu wanamdhalilisha wakati akipigania barabara isiharibiwe ambapo pia ameeleza kiini cha mgogoro wa hivi karibuni huko Bagamoyo.
Msikilize Dkt.Kawambwa kupitia video hapa chini;