Vipaumbele vya Wizara ya Madini katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025

DODOMA-Leo Aprili 30,2024 Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde amewasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/2024. Chini ni vipaumbele vya bajeti yake;
Aidha,Mheshimiwa Waziri Mavunde ameliomba Bunge liridhie na kupitisha makadirio ya shilingi 231,983,614,000.00 kwa ajili ya matumizi ya wizara na taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.

Kati ya fedha hizo shilingi 140,661,200,000.00 sawa na asilimia 60.63 ya bajeti yote ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo.

Aidha, shilingi 91,322,414,000.00 sawa na asilimia 39.37 ya bajeti yote ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida.

Huku kati ya fedha hizo, shilingi 24,872,875,000.00 ni kwa ajili ya mishahara ya watumishi (PE) na shilingi 66,449,539,000.00 ni kwa ajili ya matumizi mengineyo (OC) ya wizara na taasisi zilizo chini yake.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news