Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma akimpokea Rais wa Namibia Mhe Dr. Nangolo Mbumba wakati alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Rais huyo amewasilisi jana, kwa ajili ya kushiriki katika kilele cha sherehe za miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Aprili, 26.