Dkt. Felix Wandwe, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza wakati wa kikao cha kiutendaji kuhusu mashirikiano kati ya CFR na IPA, kushoto ni Dkt. Wande Reweta, mjumbe wa Baraza la Uongozi wa Kituo na Dkt. Jacob Nduye (kulia) Kaimu Mkurugenzi (Mipango, Fedha na Utawala), CFR.
Tags
Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA)
Dr. Salim Ahmed Salim Centre for Foreign Relations
Habari