DCEA yafikisha elimu kuhusu dawa za kulevya kwa vilabu 160 vya Jogging

MOROGORO-Mei 4,2024, Mamlaka ya Kudhibiti na Kumpambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Pwani imetoa elimu ya athari ya dawa za kulevya kwenye tamasha la vilabu 160 vya Jogging.
Ni kutoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara na visiwani lililofanyika mkoani Morogoro.

Kupitia tamasha hilo wananchi wamehamasishwa kutoa taarifa za watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya kwa kupiga simu ya kupiga bure namna 119.
Vipeperushi na majarida ya dawa za kulevya yamegawiwa kama njia ya kuendelea kutoa elimu ya dawa za kulevya kwa watu wengi zaidi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news