Dkt.Biteko ateta na Warioba


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mhe. Sinde Warioba mara baada ya ufunguzi wa warsha ya Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmashauri kutoka Tanzania Bara kuhusu Usimamizi na Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai leo Mei 9, 2024 jijini Dodona.(Picha na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news