Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 2,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 697.23 na kuuzwa kwa shilingi 704.01 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 164.30 na kuuzwa kwa shilingi 165.76.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 2, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2740.19 na kuuzwa kwa shilingi 2769.15.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1664.81 na kuuzwa kwa shilingi 1681.71 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3373.48 na kuuzwa kwa shilingi 3407.21.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.04 na kuuzwa kwa shilingi 19.08 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.65 na kuuzwa kwa shilingi 0.68 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.88 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2560.45 na kuuzwa kwa shilingi 2586.06 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8311.01 na kuuzwa kwa shilingi 8390.30.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3105.95 na kuuzwa kwa shilingi 3239.82 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1864.86 na kuuzwa kwa shilingi 1883.37 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2898.82 na kuuzwa kwa shilingi 2825.06.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 233.42 na kuuzwa kwa shilingi 235.71 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 136.41 na kuuzwa kwa shilingi 137.74.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today Mei 2, 2024 according to Bank of Tanzania (BoT);
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED697.2348704.0155700.625102-May-24
2ATS164.3045165.7603165.032402-May-24
3AUD1664.80811681.71481673.261502-May-24
4BEF56.045956.54256.293902-May-24
5BIF0.88880.8970.892902-May-24
6BWP185.377188.5238186.950402-May-24
7CAD1864.86191883.37341874.117702-May-24
8CHF2798.61782825.06012811.83902-May-24
9CNY353.5662357.0279355.29702-May-24
10CUC106.6856107.7525107.219102-May-24
11DEM1025.94681166.20521096.07602-May-24
12DKK367.5119371.1497369.330802-May-24
13DZD19.105819.217719.161802-May-24
14ESP13.588413.708213.648302-May-24
15EUR2740.19942769.1532754.676202-May-24
16FIM380.2506383.6201381.935402-May-24
17FRF344.6707347.7196346.195202-May-24
18GBP3205.94633239.8163222.881102-May-24
19HKD327.4282330.6982329.063202-May-24
20INR30.692830.979330.836102-May-24
21IQD1.9561.97261.964302-May-24
22IRR0.0610.06160.061302-May-24
23ITL1.16761.1781.172802-May-24
24JPY16.26116.420516.340702-May-24
25KES19.036819.085319.061102-May-24
26KRW1.84941.86711.858202-May-24
27KWD8311.00838390.30568350.65702-May-24
28MWK1.37221.47771.424902-May-24
29MYR536.7831541.5832539.183202-May-24
30MZM39.957240.293940.125502-May-24
31NAD136.3402137.6889137.014602-May-24
32NGN1.91081.86051.885602-May-24
33NLG1025.94681035.0451030.495902-May-24
34NOK231.508233.7766232.642302-May-24
35NZD1514.76541530.94751522.856502-May-24
36PKR8.74199.2899.015502-May-24
37QAR702.2642708.898705.581102-May-24
38RWF1.96992.0161.99302-May-24
39SAR682.6971689.4873686.092202-May-24
40SDR3373.47693407.21163390.344202-May-24
41SEK233.4244235.7114234.567902-May-24
42SGD1879.23341896.91191888.072602-May-24
43TRY79.080179.858379.469202-May-24
44UGX0.64630.67820.662302-May-24
45USD2560.45542586.062573.257702-May-24
46GOLD5902387.49765962730.26325932558.880402-May-24
47ZAR136.4158137.7425137.079102-May-24
48ZMK92.846496.494894.670602-May-24
49ZWD0.47910.48880.48402-May-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news