Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 13,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1696.42 na kuuzwa kwa shilingi 1713.64 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3392.68 na kuuzwa kwa shilingi 3426.61.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 13, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.66 na kuuzwa kwa shilingi 19.74 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.65 na kuuzwa kwa shilingi 0.69 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.90.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2570.72 na kuuzwa kwa shilingi 2596.43 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8358.71 na kuuzwa kwa shilingi 8439.56.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3212.37 na kuuzwa kwa shilingi 3245.54 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1875.21 na kuuzwa kwa shilingi 1893.41 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2833.06 na kuuzwa kwa shilingi 2860.13.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 236.29 na kuuzwa kwa shilingi 238.59 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 139.08 na kuuzwa kwa shilingi 140.41.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 700.01 na kuuzwa kwa shilingi 706.82 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 164.96 na kuuzwa kwa shilingi 166.42.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2765.07 na kuuzwa kwa shilingi 2792.98.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 13th;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED700.0116706.8193703.415513-May-24
2ATS164.9633166.425165.694213-May-24
3AUD1696.421713.64381705.031913-May-24
4BEF56.270656.768756.519713-May-24
5BIF0.8920.90020.896113-May-24
6BWP187.6628190.0587188.860713-May-24
7CAD1875.20811893.40771884.307913-May-24
8CHF2833.06452860.13442846.599513-May-24
9CNY355.834359.3625357.598313-May-24
10CUC107.1134108.1846107.64913-May-24
11DEM1030.06081170.88161100.471213-May-24
12DKK370.7149374.3951372.55513-May-24
13DZD19.171619.194919.183313-May-24
14ESP13.642913.763213.70313-May-24
15EUR2765.06942792.97982779.024613-May-24
16FIM381.7754385.1584383.466913-May-24
17FRF346.0528349.1139347.583413-May-24
18GBP3212.37523245.53753228.956313-May-24
19HKD328.8925332.1772330.534913-May-24
20INR30.795631.097230.946413-May-24
21IQD1.96391.98051.972213-May-24
22IRR0.06120.06180.061513-May-24
23ITL1.17231.18271.177513-May-24
24JPY16.509716.673716.591713-May-24
25KES19.69919.744719.721913-May-24
26KRW1.87861.89671.887713-May-24
27KWD8358.71498439.55798399.136413-May-24
28MWK1.37771.48361.430713-May-24
29MYR542.5183547.4236544.970913-May-24
30MZM40.198940.537540.368213-May-24
31NAD139.0587140.422139.740313-May-24
32NGN1.79891.81441.806613-May-24
33NLG1030.06081039.19551034.628213-May-24
34NOK236.093238.3774237.235213-May-24
35NZD1545.26151561.75261553.507113-May-24
36PKR8.77229.30959.040913-May-24
37QAR705.2737711.9358708.604813-May-24
38RWF1.96122.02061.990913-May-24
39SAR685.453692.2706688.861813-May-24
40SDR3392.68573426.61263409.649113-May-24
41SEK236.297238.5986237.447813-May-24
42SGD1897.91271915.90171906.907213-May-24
43TRY79.798980.574480.186713-May-24
44UGX0.65370.6860.669913-May-24
45USD2570.72282596.432583.576413-May-24
46GOLD5975567.96256036647.82146006107.891913-May-24
47ZAR139.0805140.4113139.745913-May-24
48ZMK91.173794.760292.96713-May-24
49ZWD0.48110.49080.485913-May-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news