Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 17,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1888.43 na kuuzwa kwa shilingi 1906.33 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2845.17 na kuuzwa kwa shilingi 2872.03.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 17, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 240.41 na kuuzwa kwa shilingi 242.74 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 141.15 na kuuzwa kwa shilingi 142.54.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 700.45 na kuuzwa kwa shilingi 707.37 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 165.08 na kuuzwa kwa shilingi 166.55.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2794.88 na kuuzwa kwa shilingi 2823.86.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1714.38 na kuuzwa kwa shilingi 1731.79 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3404.38 na kuuzwa kwa shilingi 3438.41.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.71 na kuuzwa kwa shilingi 19.76 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.66 na kuuzwa kwa shilingi 0.69 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.90.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2572.60 na kuuzwa kwa shilingi 2598.33 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8379.27 na kuuzwa kwa shilingi 8460.31.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3256.14 na kuuzwa kwa shilingi 3289.74 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 17th;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED700.4476707.375703.911317-May-24
2ATS165.084166.5468165.815417-May-24
3AUD1714.38331731.78691723.085117-May-24
4BEF56.311856.810256.56117-May-24
5BIF0.89260.90080.896717-May-24
6CAD1888.42691906.33171897.379317-May-24
7CHF2845.17142872.0352858.603217-May-24
8CNY356.4151359.8795358.147317-May-24
9DEM1030.81461171.73841101.276517-May-24
10DKK374.7038378.3958376.549817-May-24
11ESP13.652813.773313.713117-May-24
12EUR2794.87692823.86512809.37117-May-24
13FIM382.0547385.4403383.747517-May-24
14FRF346.306349.3694347.837717-May-24
15GBP3256.14483289.74563272.945217-May-24
16HKD329.6688332.957331.312917-May-24
17INR30.819431.121230.970317-May-24
18ITL1.17321.18361.178417-May-24
19JPY16.568616.733216.650917-May-24
20KES19.713419.759219.736317-May-24
21KRW1.90881.92721.91817-May-24
22KWD8379.27168460.30868419.790117-May-24
23MWK1.37871.48471.431717-May-24
24MYR549.5842554.6062552.095217-May-24
25MZM40.222140.560940.391517-May-24
26NLG1030.81461039.9561035.385317-May-24
27NOK240.1946242.5444241.369517-May-24
28NZD1570.06021586.80021578.430217-May-24
29PKR8.78349.32989.056617-May-24
30RWF1.97422.02021.997217-May-24
31SAR685.9728692.7956689.384217-May-24
32SDR3404.37883438.42263421.400717-May-24
33SEK240.4078242.7438241.575817-May-24
34SGD1911.15371929.54851920.351117-May-24
35UGX0.65740.68980.673617-May-24
36USD2572.6042598.332585.46717-May-24
37GOLD6112275.47566174359.61246143317.54417-May-24
38ZAR141.1541142.5453141.849717-May-24
39ZMW98.8287102.7008100.764817-May-24
40ZWD0.48140.49120.486317-May-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news