Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 21,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2575.85 na kuuzwa kwa shilingi 2601.61 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8397.23 na kuuzwa kwa shilingi 8478.44.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 21, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3270.04 na kuuzwa kwa shilingi 3303.78 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1889.84 na kuuzwa kwa shilingi 1908.18 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2829.98 na kuuzwa kwa shilingi 2857.03.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 240.65 na kuuzwa kwa shilingi 242.98 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 140.99 na kuuzwa kwa shilingi 142.38.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 701.33 na kuuzwa kwa shilingi 708.29 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 165.29 na kuuzwa kwa shilingi 166.76.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2796.90 na kuuzwa kwa shilingi 2825.61.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1716.80 na kuuzwa kwa shilingi 1734.49 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3409.86 na kuuzwa kwa shilingi 3443.96.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.66 na kuuzwa kwa shilingi 19.71 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.65 na kuuzwa kwa shilingi 0.68 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.90.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 21st;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED701.3318708.2873704.809521-May-24
2ATS165.2925166.757166.024721-May-24
3AUD1716.8051734.49341725.649221-May-24
4BEF56.382956.88256.632421-May-24
5BIF0.8950.90250.898721-May-24
6BWP190.0978192.5191191.308521-May-24
7CAD1889.83971908.17811899.008921-May-24
8CHF2829.98412857.02832843.506221-May-24
9CNY356.1151359.6613357.888221-May-24
10CUC107.3271108.4004107.863821-May-24
11DEM1032.11581173.21761102.666721-May-24
12DKK374.9092378.6032376.756221-May-24
13DZD19.22219.334519.278321-May-24
14ESP13.670113.790713.730421-May-24
15EUR2796.6022825.60862811.105321-May-24
16FIM382.5371385.9268384.231921-May-24
17FRF346.7432349.8104348.276821-May-24
18GBP3270.04353303.78453286.91421-May-24
19HKD330.2501333.5397331.894921-May-24
20INR30.929331.217931.073621-May-24
21IQD1.96781.98441.976121-May-24
22IRR0.06130.06190.061621-May-24
23ITL1.17471.18511.179921-May-24
24JPY16.498116.659916.57921-May-24
25KES19.66319.709219.686121-May-24
26KRW1.8941.90981.901921-May-24
27KWD8397.23398478.44228437.83821-May-24
28MWK1.38041.48581.433121-May-24
29MYR550.043555.0693552.556221-May-24
30MZM40.241440.580440.410921-May-24
31NAD140.9973142.3831141.690221-May-24
32NGN1.77031.72291.746621-May-24
33NLG1032.11581041.26881036.692321-May-24
34NOK240.6708243.0162241.843521-May-24
35NZD1571.78461587.76261579.773621-May-24
36PKR8.79459.34159.06821-May-24
37QAR706.8747713.3562710.115521-May-24
38RWF1.97672.02632.001521-May-24
39SAR686.8388693.6702690.254521-May-24
40SDR3409.85863443.95723426.907921-May-24
41SEK240.6461242.9844241.815321-May-24
42SGD1911.721930.12091920.920421-May-24
43TRY80.005380.780380.392821-May-24
44UGX0.65180.68390.667821-May-24
45USD2575.85152601.612588.730721-May-24
46GOLD6218260.03626281457.26456249858.650421-May-24
47ZAR140.9942142.3839141.689121-May-24
48ZMK96.4701100.254798.362421-May-24
49ZWD0.4820.49180.486921-May-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news