Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 23,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.60 na kuuzwa kwa shilingi 19.65 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 23, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.65 na kuuzwa kwa shilingi 0.68 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.90.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2577.60 na kuuzwa kwa shilingi 2603.38 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8399.93 na kuuzwa kwa shilingi 8481.17.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3279.48 na kuuzwa kwa shilingi 3314.10 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1885.04 na kuuzwa kwa shilingi 1903.75 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2820.13 na kuuzwa kwa shilingi 2846.78.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 240.25 na kuuzwa kwa shilingi 242.70 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 141.58 na kuuzwa kwa shilingi 142.97.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 701.85 na kuuzwa kwa shilingi 708.71 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 165.40 na kuuzwa kwa shilingi 166.87.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2792.06 na kuuzwa kwa shilingi 2820.24.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1712.56 na kuuzwa kwa shilingi 1730.73 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3415.40 na kuuzwa kwa shilingi 3449.56.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 23rd;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED701.8472708.7112705.279223-May-24
2ATS165.4049166.8705166.137723-May-24
3AUD1712.56011730.7271721.643623-May-24
4BEF56.421256.920656.670923-May-24
5BIF0.89380.90210.89823-May-24
6CAD1885.04021903.75141894.395823-May-24
7CHF2820.13562846.77962833.457623-May-24
8CNY356.0128359.5382357.775523-May-24
9DEM1032.8181174.01581103.416923-May-24
10DKK374.2112377.9314376.071323-May-24
11ESP13.679413.800113.739723-May-24
12EUR2792.06062820.24162806.151123-May-24
13FIM382.7974386.1894384.493423-May-24
14FRF346.9792350.0484348.513823-May-24
15GBP3279.48553314.10273296.794123-May-24
16HKD330.1827333.4759331.829323-May-24
17INR30.95331.256631.104823-May-24
18ITL1.17551.18591.180723-May-24
19JPY16.468216.631816.5523-May-24
20KES19.601619.648219.624923-May-24
21KRW1.88631.90451.895423-May-24
22KWD8399.93478481.17018440.552423-May-24
23MWK1.38141.48761.434523-May-24
24MYR549.5957554.5005552.048123-May-24
25MZM40.401340.741540.571423-May-24
26NLG1032.8181041.97721037.397623-May-24
27NOK241.1951243.5501242.372623-May-24
28NZD1575.17381591.96681583.570323-May-24
29PKR8.80059.34959.07523-May-24
30RWF1.9762.02221.999123-May-24
31SAR687.2878694.1236690.705723-May-24
32SDR3415.40213449.55613432.479123-May-24
33SEK240.2487242.6059241.427323-May-24
34SGD1910.89331928.85831919.875823-May-24
35UGX0.64850.68040.664423-May-24
36USD2577.6042603.382590.49223-May-24
37GOLD6217850.92966281357.16266249604.046123-May-24
38ZAR141.5783142.9737142.27623-May-24
39ZMW95.612899.365697.489223-May-24
40ZWD0.48230.49210.487223-May-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news