Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 28,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 703.18 na kuuzwa kwa shilingi 710.02 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 165.71 na kuuzwa kwa shilingi 167.18.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 28, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2801.36 na kuuzwa kwa shilingi 2829.64.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1716.50 na kuuzwa kwa shilingi 1734.19 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3417.41 na kuuzwa kwa shilingi 3451.59.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.48 na kuuzwa kwa shilingi 19.53 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.65 na kuuzwa kwa shilingi 0.68 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.90.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2582.38 na kuuzwa kwa shilingi 2608.2 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8415.76 na kuuzwa kwa shilingi 8497.15.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3292.01 na kuuzwa kwa shilingi 3325.98 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1891.29 na kuuzwa kwa shilingi 1910.07 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2822.89 na kuuzwa kwa shilingi 2850.80.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 242.82 na kuuzwa kwa shilingi 242.18 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 140.21 na kuuzwa kwa shilingi 141.55.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 28th;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED703.1849710.0234706.604228-May-24
2ATS165.7111167.1794166.445328-May-24
3AUD1716.50551734.19221725.348828-May-24
4BEF56.525757.02656.775928-May-24
5BIF0.89630.90350.899928-May-24
6BWP189.8047192.2243191.014528-May-24
7CAD1891.29651910.06961900.68328-May-24
8CHF2822.88612850.80342836.844828-May-24
9CNY356.4996360.0298358.264728-May-24
10CUC107.599108.675108.13728-May-24
11DEM1034.73021176.18941105.459828-May-24
12DKK375.4545379.176377.315328-May-24
13DZD19.228319.335719.28228-May-24
14ESP13.704713.825613.765228-May-24
15EUR2801.36172829.63622815.49928-May-24
16FIM383.506386.9044385.205228-May-24
17FRF347.6216350.6965349.15928-May-24
18GBP3292.01323325.97663308.994928-May-24
19HKD330.7431334.0335332.388328-May-24
20INR31.074831.364831.219828-May-24
21IQD1.97281.98951.981128-May-24
22IRR0.06150.06210.061828-May-24
23ITL1.17761.18811.182928-May-24
24JPY16.467116.628616.547928-May-24
25KES19.489619.537119.513428-May-24
26KRW1.89541.91331.904428-May-24
27KWD8415.76098497.14948456.455128-May-24
28MWK1.38391.48951.436728-May-24
29MYR550.0269555.0543552.540628-May-24
30MZM40.444440.78540.614728-May-24
31NAD140.2048141.5969140.900828-May-24
32NGN1.76881.72731.74828-May-24
33NLG1034.73021043.90631039.318328-May-24
34NOK245.459247.8429246.65128-May-24
35NZD1586.09551602.99971594.547628-May-24
36PKR8.81839.36859.093428-May-24
37QAR708.6264715.3593711.992828-May-24
38RWF1.96362.01261.988128-May-24
39SAR688.5602695.4087691.984528-May-24
40SDR3417.41473451.58883434.501828-May-24
41SEK242.8255245.1846244.00528-May-24
42SGD1914.14741932.57261923.3628-May-24
43TRY80.510680.769280.639928-May-24
44UGX0.6520.68420.668128-May-24
45USD2582.37622608.22595.288128-May-24
46GOLD6064426.53276125696.7666095061.649328-May-24
47ZAR140.2109141.5554140.883128-May-24
48ZMK93.431797.103595.267628-May-24
49ZWD0.48320.4930.488128-May-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news