Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 8,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2570.36 na kuuzwa kwa shilingi 2596.06 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8365.96 na kuuzwa kwa shilingi 8438.63.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 8, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3226.05 na kuuzwa kwa shilingi 3259.35 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1879.74 na kuuzwa kwa shilingi 1897.98 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2835.47 na kuuzwa kwa shilingi 2862.88.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 237.38 na kuuzwa kwa shilingi 239.41 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 139.19 na kuuzwa kwa shilingi 140.56.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 699.91 na kuuzwa kwa shilingi 706.72 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 164.94 na kuuzwa kwa shilingi 166.40.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2769.56 na kuuzwa kwa shilingi 2798.29.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1700.80 na kuuzwa kwa shilingi 1718.33 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3399.29 na kuuzwa kwa shilingi 3433.29.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.55 na kuuzwa kwa shilingi 19.59 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.66 na kuuzwa kwa shilingi 0.69 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.90.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 8th, 2024 according to Bank of Tanzania (BoT);
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED699.9119706.7186703.315208-May-24
2ATS164.9398166.4013165.670608-May-24
3AUD1700.80491718.33211709.568508-May-24
4BEF56.262656.760656.511608-May-24
5BIF0.8920.90020.896108-May-24
6BWP188.6642191.07189.867108-May-24
7CAD1879.741897.98221888.861108-May-24
8CHF2835.47322862.88052849.176808-May-24
9CNY356.153359.6747357.913908-May-24
10CUC107.0982108.1692107.633708-May-24
11DEM1029.9141170.71481100.314408-May-24
12DKK371.4173375.0773373.247308-May-24
13DZD19.138919.245719.192308-May-24
14ESP13.640913.761313.701108-May-24
15EUR2769.55912798.29312783.926108-May-24
16FIM381.721385.1035383.412308-May-24
17FRF346.0035349.0642347.533808-May-24
18GBP3226.05443259.35333242.703808-May-24
19HKD328.6649331.9388330.301808-May-24
20INR30.785331.086430.935808-May-24
21IQD1.96361.98021.971908-May-24
22IRR0.06120.06180.061508-May-24
23ITL1.17221.18251.177408-May-24
24JPY16.644216.807316.725708-May-24
25KES19.546419.592919.569708-May-24
26KRW1.89361.91191.902708-May-24
27KWD8365.95648438.62968402.29308-May-24
28MWK1.37751.48341.430408-May-24
29MYR542.7273547.692545.209608-May-24
30MZM40.155540.493840.324708-May-24
31NAD139.2015140.557139.879308-May-24
32NGN1.86041.87621.868308-May-24
33NLG1029.9141039.04741034.480708-May-24
34NOK236.8403239.1426237.991408-May-24
35NZD1546.06941562.56851554.31908-May-24
36PKR8.78049.33169.05608-May-24
37QAR705.1732711.8344708.503808-May-24
38RWF1.9752.02111.998108-May-24
39SAR685.4101692.1535688.781808-May-24
40SDR3399.29493433.28783416.291408-May-24
41SEK237.3827239.7123238.547508-May-24
42SGD1900.58891919.45291910.020908-May-24
43TRY79.681280.460680.070908-May-24
44UGX0.65630.68860.672408-May-24
45USD2570.35642596.062583.208208-May-24
46GOLD5954102.16536014941.2175984521.691208-May-24
47ZAR139.188140.5601139.87408-May-24
48ZMK92.086695.707393.89708-May-24
49ZWD0.4810.49070.485908-May-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news