Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 9,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.65 na kuuzwa kwa shilingi 0.69 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.892 na kuuzwa kwa shilingi 0.899.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 9, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2570.44 na kuuzwa kwa shilingi 2596.15 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8362.98 na kuuzwa kwa shilingi 8435.63.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3207.14 na kuuzwa kwa shilingi 3240.25 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1869.41 na kuuzwa kwa shilingi 1887.56 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2829.33 na kuuzwa kwa shilingi 2856.99.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 235.86 na kuuzwa kwa shilingi 238.16 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 137.12 na kuuzwa kwa shilingi 139.06.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 699.94 na kuuzwa kwa shilingi 706.74 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 164.95 na kuuzwa kwa shilingi 166.41.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2761.94 na kuuzwa kwa shilingi 2790.60.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1686.21 na kuuzwa kwa shilingi 1703.59 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3396.51 na kuuzwa kwa shilingi 3430.48.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.62 na kuuzwa kwa shilingi 19.67 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 9th, 2024 according to Bank of Tanzania (BoT);
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED699.9361706.7431703.339609-May-24
2ATS164.9455166.4071165.676309-May-24
3AUD1686.21231703.59361694.90309-May-24
4BEF56.264656.762656.513609-May-24
5BIF0.89250.89960.896109-May-24
6CAD1869.4151887.561878.487509-May-24
7CHF2829.32912856.99352843.161309-May-24
8CNY355.643359.1548357.398909-May-24
9DEM1029.94971170.75541100.352509-May-24
10DKK370.3866374.0742372.230409-May-24
11ESP13.641413.761713.701609-May-24
12EUR2761.94382790.60162776.272709-May-24
13FIM381.7343385.1169383.425609-May-24
14FRF346.0155349.0763347.545909-May-24
15GBP3207.14493240.25493223.699909-May-24
16HKD328.7814332.0564330.418909-May-24
17INR30.796431.083830.940109-May-24
18ITL1.17221.18261.177409-May-24
19JPY16.517516.679416.598409-May-24
20KES19.621719.667819.644809-May-24
21KRW1.88311.90131.892209-May-24
22KWD8362.988435.63168399.305809-May-24
23MWK1.37751.48271.430109-May-24
24MYR542.2881547.1339544.71109-May-24
25MZM40.013140.350540.181809-May-24
26NLG1029.94971039.08351034.516609-May-24
27NOK235.1197237.4057236.262709-May-24
28NZD1538.15461554.57461546.364609-May-24
29PKR8.78079.33199.056309-May-24
30RWF1.9752.02121.998109-May-24
31SAR685.3791692.1959688.787509-May-24
32SDR3396.51093430.47613413.493509-May-24
33SEK235.864238.1571237.010509-May-24
34SGD1895.32931913.57711904.453209-May-24
35UGX0.65280.6850.668909-May-24
36USD2570.44562596.152583.297809-May-24
37GOLD5950555.73126010866.0955980710.913109-May-24
38ZAR137.7221139.0651138.393609-May-24
39ZMW91.498495.097193.297709-May-24
40ZWD0.4810.49080.485909-May-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news