Furaha ya bibi Maligo Daimon mbele ya Waziri Mkuu


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kukabidhiwa Nyumba ya kuishi na chakula na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust ambayo Mkurugenzi wake ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson, makabidhiano hayo yamefanyika katika Mata wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news