Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 21,2024

DODOMA-Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania (TMC), Joseph Bundala ambaye Mei 16,2024 saa moja jioni alikutwa amejinyonga kwa kutumia waya wa simu ndani ya choo cha ofisi aliyokuwa akiitumia ndani ya kanisa hilo jijini Dodoma amezikwa Mei 20,2024 kwenye Kanisa la Methodist lililopo eneo la Ihumwa,Dodoma ambalo ni miongoni mwa makanisa aliyoanzisha nchini.
Makamu Mkuu wa kanisa hilo, Samuel Nyanza amesema, kutokana na tukio hilo lililotokea watalazimika kufunga kwa muda kanisa hilo na baada ya siku kadhaa itafanyika ibada ya utakaso na kulifungua upya tena.

















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news