Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 20,2024

DAR-Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema,inakamilisha malipo ya fedha za kujikimu kwa maana ya chakula na malazi kwa robo ya nne na wanafunzi watarajie kupokea fedha hizo kuanzia leo Mei 20, 2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dkt. Bill Kiwia ametoa ufafanuzi huo Mei 19,2024 baada ya maoni na maswali yanayoulizwa na wanafunzi wanufaika kupitia barua pepe, mitandao ya kijamii kuhusu hatua ya malipo iliyofikiwa hususani kwa vyuo ambavyo tarehe za malipo ya robo ya nne zimefika.
















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news